• Toll Free: 0800110088
  • Box: 2932, Sinde Area - Mbeya Tanzania

MIRADI YA MAJI

Chitete

Ujenzi wa Tanki la kuhifadhia maji katika mji wa Chitete likiwa limekamilika

Ileje - Itumba

Ujenzi wa Tanki la kuhifadhia maji katika mji wa Itumba Isongole (Ileje) ukiwa umekamilika

Shongo - Mbalizi

Ukaguzi wa ujenzi wa njia za maji



Na.

JINA LA MRADI

WIGO (SCOPE) YA MRADI

GHARAMA ZA MRADI (TSH.)

KIASI CHA MAJI CHA UZALISHAJI (Lita/Siku)

MUDA WA UTEKELEZAJI (MIEZI)

IDADI YA WANUFAIKA

MAENEO NUFAIKA

KAZI ZILIZOKWISHA FANYIKA

HALI YA MRADI

1

Ntangano

Ununuzi wa bomba na Viungio vyake, Ununuzi wa vifaa vya ujenzi, Ujenzi wa Banio, Ulazaji wa Bomba kuu 4'' umbali wa mita 1,000, Ujenzi wa Chujio la Maji, Ulazaji wa Bomba za kusambaza maji (6'', 4'' n.k,) umbali wa mita 5,520m.

400,000,000

1,000,000

12 (April 2021- June 2022)

15,000

Uyole eneo la Ikhanga, Mwahara na Iganjo

Ununuzi wa bomba na viungio vyake na vifaa vya ujenzi (95%) Ujenzi wa banio la Maji (100%), Ulazaji wa bomba kuu mita 1,000 (100%), Ujenzi wa Chujio la Maji (95%), Ulazaji wa bomba za kusambaza maji (98%)

Unaendelea kutekelezwa

2

Ilunga

Ununuzi wa bomba, viungio na vifaa vya ujenzi, Ujenzi wa banio la Maji, Ulazaji wa bomba kuu umbali wa kilometa 11.5, Ujenzi wa Chujio la Maji, Ujenzi wa Tanki la Maji lenye ukubwa wa mita za ujazo 2,000, Ulazaji wa bomba za kusambaza maji umbali wa kilometa 16.

4.8 Bilion

10,000,000

24 ( Sept. 2021 - Sept.2023)

65,000

Iwambi na Mbalizi

Ununuzi wa bomba, viungio na vifaa vya ujenzi (50%), Ujenzi wa banio la Maji (100%), Ulazaji wa bomba kuu umbali wa kilometa 11.5 (95%), Ujenzi wa Chujio la Maji (10%), Ujenzi wa Tanki la Maji lenye ukubwa wa mita za ujazo 2,000 (0%), Ulazaji wa bomba za kusambaza maji umbali wa kilometa 16 (45%)

Unaendelea kutekelezwa

3

Nzovwe - Iyela

Ununuzi wa vifaa vya Ujenzi, bomba za maji na viungio vyake, Ujenzi wa Banio la maji, Ulazaji wa Bomba kuu kutoka kwenye banio hadi Tanki la Iyela umbali wa kilometa 4.5. { Sehemu ya kazi hizi zinafadhiliwa na Mfuko wa UVICO na kazi zingine zinafadhiliwa na Mbeya WSSA}

541,455,656

4,000,000

6 ( Dec.2021 - June 2022)

55,000

Iyela, Nelotia, Sisitila

Ununuzi wa vifaa vya Ujenzi, bomba za maji na viungio vyake (100%), Ujenzi wa banio la maji (100%), Ulazaji wa Bomba kuu kutoka kwenye banio hadi Tanki la Iyela umbali wa kilometa 4.5 (100%).

Umetekelezwa

4

Kiwira

Ujenzi wa banio la Maji, Ulazaji wa bomba kutoka kwenye chanzo hadi Tanki la Mwashaali kwa makadilio ya sasa ni umbali wa kilometa 54km, Ujenzi wa Tanki za Maji tatu zenye ukubwa wa mita za ujazo 10,000, Ujenzi wa Chujio la Maji.

Kwa makadilio ya sasa: 200 Bilioni

125,000 CU/Siku

24 ( March 2022 - March.2024

850,000

Jiji la Mbeya na Mji mdogo wa Mbalizi

Kazi ya mapitio ya usanifu wa mradi inaendelea ikiwemo tathimini ya athali za kimazingira.

Unaendelea kutekelezwa

5

Tukuyu

Ununuzi wa bomba za maji na viungio vyake, Ununuzi wa vifaa vya ujenzi, Ulazaji wa bomba kuu umbali wa kilometa 9.5, Ujenzi wa Tanki la Maji lenye ukubwa wa mita za ujazo 1,500, Ujenzi wa Chujio la Maji lenye ukubwa wa mita za ujazo 1,778 kwa siku, Ulazaji wa bomba za kusambaza maji umbali wa kilometa 20, Ununuzi na ufungaji wa dira za maji 6,000 na Utunzaji wa chanzo cha Mto Mbaka.

4.5 Bilion

21, 120 CU/Siku

24 (Sept. 2021 - Sept.2023)

63,647

Wananchi waishio mji wa Tukuyu na Viunga vyake

Ununuzi wa bomba (3km), Ulazaji wa bomba kuu umbali wa kilometa 3.

Umetekelezwa

6

Kyela - Kasumulu

Ununuzi wa bomba, viungio vya bomba na vifaa vya ujenzi, Ujenzi wa banio la Maji, Ulazaji wa bomba kuu umbali wa kilometa 34, Ujenzi wa Tanki la Maji lenye ukubwa wa mita za ujazo 2,000, Ujenzi wa Chujio la Maji lenye ukubwa wa 25,360m3/d na ujenzi wa nyumba ya watumishi eneo la chujio na Tanki na Ulazaji wa bomba za kusambaza maji umbali wa kilometa 30.

4.7 Bilion

13,011 CU/Siku

24 (Oct. 2021 hadi Oct.2023)

114,704

Wakaazi wa Mji wa Kyela na Kasumulu

Ununuzi wa bomba kilometa 7.7, Ujenzi wa banio la Maji, Ulazaji wa bomba kuu umbali wa kilometa 7.7.

Umetekelezwa

7

Shongo - Mbalizi Project

Ujenzi wa Banio, Ulazaji wa Bomba kuu na bomba za kusambaza maji 73.5 kwa ujumla wake, Ujenzi wa Tanki la Maji (Lita 1,500,000).

3,345,000,000

8,000,000

12 (Jul.2019 - Jul.2020)

80,000

Mbalizi na Viunga vyake

Ujenzi wa Banio, Ulazaji wa Bomba kuu na bomba za kusambaza maji 73.5 kwa ujumla wake, Ujenzi wa Tanki la Maji (Lita 1,500,000).

Umetekelezwa

8

Isyesye Milimani (Mwashaali)

Ujenzi wa Banio, Ulazaji wa Bomba kuu na bomba za kusambaza maji 13 kwa ujumla wake, Ujenzi wa Chujio la Maji

400,000,000

1,000,000

8 (Aug.2020 - March 2021)

6,500

Isyesye - Milimani

Ujenzi wa Banio, Ulazaji wa Bomba kuu na bomba za kusambaza maji 13 kwa ujumla wake, Ujenzi wa Chujio la Maji

Umetekelezwa

9

Nzovwe - Isyesye

Ujenzi wa Banio, Ulazaji wa Bomba kuu na bomba za kusambaza maji 6.2 kwa ujumla wake, Ujenzi wa Tanki dogo la Maji, Ujenzi wa Nyumba ya Pampu ya kusukuma maji na Ununuzi wa Pampu za Maji

830,000,000

4,000,000

7 (Dec.2020 Jul.2021)

65,000

Isyesye Bondeni, Nanenane, RRM, Ilomba

Ujenzi wa Banio, Ulazaji wa Bomba kuu na bomba za kusambaza maji 6.2 kwa ujumla wake, Ujenzi wa Tanki dogo la Maji, Ujenzi wa Nyumba ya Pampu ya kusukuma maji na Ununuzi wa Pampu za Maji

Umetekelezwa













PICHA ZA MIRADI

1. Ntangano









2. Ilunga







3. Nzovwe-Iyela

















4. Kiwira







5. Shongo

6. Isyesye Milimani (Mwashali)