• Toll Free: 0800110088
  • Box: 2932, Sinde Area - Mbeya Tanzania

Kufahamu Ankara ya Maji

Kila mwanzoni mwa mwezi Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya hutoa Ankara (Bili) za maji kwa wateja na kuzituma kwa njia ya meseji fupi (SMS). Ikiwa mteja hajatumiwa Ankara kwa mwezi husika, anaombwa kufika ofisini ili kuangalia taarifa zake na kulipia Ankara husika. Aidha wateja wanaweza kufahamu Ankara zao kwa kubonyeza ukurusa ufuatao.

ANGALIA ANKARA YAKO HAPA