Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya itasitisha huduma ya maji kwa mteja endapo atafanya yafuatayo:-
-
Kushindwa kulipa ankara (bili) ya kila mwezi
- Kuiba maji kwa namna yoyote mfano:- kujiungajishia maji kinyume na utaratibu, kuharibu dira ili isisome vizuri, kukata bomba linalota maji n.k
- Ikabainika kua mteja amesababisha mivujo ya maji kwa makusudi
Hivyo Mamlaka inawasisitiza wateja kufuata taratibu zilizowekwa za kuunganisha maji na kulipia ankara za maji kila mwezi ili kuepuka gharama na adhabu zinazosababishwa na kusitishiwa huduma.
|